Wednesday, 25 March 2015

TANGAZO JIPYA TAFADHALI SOMA

Taarifa kwa mwombaji kwa yeyote anayetuma maombi ya nafasi ya masomo, ahakikishe anapotuma fomu kama yupo nje ya Dar es Salaam kwa njia ya posta, awe ametuma na ada ya maombi kama ilivyoainishwa awali kwenye fomu kupitia Airtel Money No: 0783054967 na Tigopesa No: 0715057053 Jina litatokea UGUNDA COLLEGE. Bila ya kufanya hivyo fomu yako haitashughulikiwa. Asanteni kwa ushirikiano wako.

Executive Director

Ugunda College.